Ramadhan Day 1

Leo ndio ya awali 

Rabbi mola takabali 

Saumu zetu jalali 

Utulipe na hidaya.
Kwani leo ndio kwanza 

Saumu tumeianza 

Situpe la kututanza 

Sahali twatarajiya.
Kwetu hii ndio mosi 

Tupe sahali qudusi 

Ututuze na nafusi 

Tufunge pasi udhiya.
Yakwelea ya manani 

Leo ndio day wani 

Tuzidishie imani 

Tupendane sote piya.

Written by: Swahibul Iman Babake Kiram

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s