The People of Wasini (Wavumba) ~ SHAIRI 

Bismillahi nanena

naphwera rusikizane,

Sababu sasa naona

umuhimu rujuane,

Kivumba nichakinena

muphweralo mulinene,

Sisii wa mvumba hasa msirwire washirazi,
Wavumba wanako kwao rangu huko wauyako,

Na wanayo lugha yao na mashairi yakuko,

Na ushirazi si wao

kuwera hivi ni miko,

Sisi ni wavumba hasa

msirwire washirazi,
Sijui alo wambia kuruphaka ushirazi,

Na ingawa rwavijua

kabila hili liwazi,

Mnani kuruumbua

mkoma kuira mnazi,

Sisi ni wavumba hasa

Msirwire washirazi,
Rwaphwera wosi wavijue

kuwa sisi ruwa vumba,

Kila mtu na kooe na jabali na miamba,

sawa rujipambanue

kuliko asili kuomba,

Sisi ni wavumba hasa

msirwire washirazi,
Kivumba si lugha siri

watu wosi wakijua,

Mti watamkwa mri

na kuavya ni kutoa,

na kweru chaka ni pori

lugha yaki swahilia,

Sisi ni wavumba hasa

msirwire washirazi,
Kukasirikia kurea

tumbo lairibwa mimba,

Kutuchukua nikurwaa,

kuezeka ni kuvimba

Kupumzika kuretwaa,

kuimba kweru ni kwimba

sisi ni wavumba hasa

msirwire washirazi,
Sayanena nilo nao

nyosi mna yaskia,

Wakanywe warurajao

wavumba ruchabakia,

Kila watu mji wao

mkwiro na wasinia,

sisi ni wavumba hasa

msirwire washirazi.

Advertisements

4 thoughts on “The People of Wasini (Wavumba) ~ SHAIRI 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s