Happy 96th Birthday Grandpa

image
My grandpa Abdulrahman Saggaf Alawy

NALITANGULIZA
JINALO WAHABU
YOTE WAYAWEZA
NI WEWE TABIBU
NINALO ULIZA
NI DUWA KWA BABU

MPE TAKHAFIFU
NA SWIHA TIMAMU
AFIA MUAFU
ILAHI RAHIMU
SHARIFU SAGAFU
MARUFU MWALIMU

NI ALOTULEA
NA HUKU TWATEKA
ANACHO POKEA
HUWA AKIWEKA
AKATULETEA
TUPATE KUDEKA

TATINDA KALIMA
MWISHO WA KITABU
WAKO MWANA MWEMA
ABDULMUTWALIBU
NDIO NALOSEMA
HAPPY BIRTHDAY BABU

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s